MHE. MKUCHIKA AWATEMBELEA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WASTAAFU IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE
posted on
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa
Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D.
Msuya alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Makamu wa
Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Cleopa D. Msuya alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiagana na Makamu wa Kwanza wa
Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D.
Msuya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa
Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Joseph S.
Warioba alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam..
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Makamu wa
Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Joseph S. Warioba alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni