WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO

PIX 1 (14)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko   mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao. Picha na Wizara  ya Mambo ya  Ndani  ya  Nchi.
PIX 2 (16)

PIX 3 (14)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi,  Sheikh Issa, aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko  yake juu ya ndugu yake kuuawa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PIX 4 (10)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi,  Martha Mtungi (wakwanza kulia), aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko  yake. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni