Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula ( kulia) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu (Techzone) na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower Morocco jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula ( katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia (kulia) wakimsikiliza mtaalamu wa Data, Hendrick Rupia wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower Morocco jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia) akiongea na wafanyakazi wa Vodacom wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaa , wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Lugata na Meneja wa maduka ya Rejareja ya Vodacom Tanzania, Happiness Macha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia) akikata keki wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu uliofanyika leo katika makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, (wa pili kushoto) na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator Mhandisi Dkt, George Mulamula (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia wakigongea glasi ya shampeni wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo Makao Makuu ya kampuni hiyo,Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni