Ndege iliyomchumchukua Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia Jumatano Agosti 15, 2018
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Christine Hoebes alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia tayari kwa mkutano wa 38 wa SADC akimwalikilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia tayari kwa mkutano wa 38 wa SADC akimwalikilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Adolf Mkenda alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Balozi wa Namibia nchini Tanzania Mhe. Theresia Samaria alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Wizara ya Mambo ye Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Balozi Innocent Shiyo alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. Sylvester Ambokile alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Ali Juma Khamis alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na afisa mwandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Bw. Richard Lupembe alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
akamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Christine Hoebes mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
akamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akipatiwa heshima na kikosi cha askari akiwa ameongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Christine Hoebes mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu ya Juu , Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa nchi hiyo Christine Hoebes mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, Waziri wa Elimu ya Juu, Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa nchi hiyo Christine Hoebes mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako mjini Windhoek Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Edwin Paul Mhede alipowasili katika hoteli ya Safari mjini Windhoek, Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Manasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Evaristo Longopa alipowasili katika hoteli ya Safari mjini Windhoek, Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu alipowasili katika hoteli ya Safari mjini Windhoek, Namibia
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga na Waziri wa Elimu ya Juu, Mafunzo na Ubunifu wa Namibia Mhe. Dkt. Itah Kandjii-Murangi alipowasili katika hoteli aliyofikia ya Safari mjini Windhoek, Namibia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni