Ujumbe wa BOT kukutana na Rais Shein


DSC_4049
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga alipofika Ikululu Mjini Zanzibar leo akifuatana na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 28 Aug 2018.
DSC_4134
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga baada ya mazungumzo alipofika Ikululu Mjini Zanzibar leo akifuatana na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 28 Aug 2018.
DSC_4093
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa  Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ulipofika Ikululu Mjini Zanzibar leo ukiongozwa na Gavana Prof Florens D.M Luoga (wa pili kuli),[Picha na Ikulu.] 28 Aug 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni