Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi, Mhe. Farhiya Haji (kushoto) na Mhe. Wafula Wamunyinyi.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kwa ajili ya kumpongeza na mazungumzo mafupi.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi (kulia kwake).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni