Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi D/IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi Sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu. Kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi D-IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni