Kikundi
cha kwaya cha Nyota ya asubuhi, cha kanisa la Wasabato, Ukonga, kikitoa
burudani wakati wa utoaji tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa
katika kutetea haki na jamii nchini, Dar es Salaam jana. Mmoja wa
waliopata tuzo hizo ni pamoja na Mbunge wa Kigoma Kusini, David
Kafulila. Tuzo hizo zilitolewa na Taasisi ya Dream Success Enterprises
ya jijini. (PICHA ZOTE JAJI MARK NA KHAMISI MUSSA)
Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
Jaji
mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa
Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa
na taasisi ya Dream Success Enterprises
Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam
Jaji
mstaafu Mark Bomani akimkabidhi tuzo Mwandishi Saed Kubenea tuzo ya
uwazi na ukweli , ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success
Enterprises Dar es Salaam
Jaji
Mstaafu Mark Bomani katika picha ya pamoja (wa tano kulia ) wakiwa na
baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Dream Success Enterprises mmoja wao
ni Joshua Lawrence (kushoto) na kulia ni Profesa Aldin Mutembei baada
ya kukabidhiwa tuzo hizo Dar es Salaam jana
Baadhi ya wananchi walio shiriki
Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema, akizungumza jambo baada ya kikabidhiwa tuzi hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni