Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la
Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga
kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa
Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015. Picha na OMR
‘WAGOMBEA WANAPOKUTANA’, Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
ambaye ni mmoja kati ya wagombea wa Urais kupitia CCM, akizungumza jambo
na mgombea mwenzake, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen
Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya
kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu
ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika
kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua rasmi Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya
Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea,
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo
Julai 6, 2015. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Waziri Kilimo, Chakula na
Ushirika, Stephen Wasira, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kufungua Kongamano hilo. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Meza Kuu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya kufungua rasmi,
leo jijini Arusha. Picha na OMR
‘WAGOMBEA WANAPOKUTANA’ Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
ambaye ni mmoja kati ya wagombea wa Urais kupitia CCM, akifurahia jambo
na mgombea mwenzake, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen
Wasira, wakati alipokuwa akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa
ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya
Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea,
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
Kushoto ni Mwenyekiti wa ARIPO, Otafiire Kahindi. Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni