Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume baada ya
kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Biashara ya 39 ya
Kimataifa ya Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara,
Abdallah Kigoda na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara
(Tantrade), Jacquline Maleko.

Picha ya Pamoja.
Maofisa wa NSSF wakifurahia tuzo walizopata baada ya kuwa washindi wa jumla katika maonyesho ya Sabasaba.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika maonyesho ya Sabasaba.
Baadhi
ya maofisa wa NSSF wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya
Sabasaba pamoja na utoaji wa tuzo kwa washindi ambapo NSSF waliibuka
washindiwa jumla.
Maofisa wa NSSF wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa maonyesho hayo pamoja na utoaji wa tuzo kwa washindi.
Meneja
Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), Eunice Chiume (kulia) akiwa na baadhi ya maofisa wa NSSF wakati
wa uzinduzi wa maonyesho ya Sabasaba pamoja na utoaji wa tuzo kwa
washindi ambapo NSSF waliibuka washindi wa jumla katika maonyesho hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni