SUGAR
LAND CITY PUB ILIYOPO MAJENGO JUU MWISHO WA VIACE,BARABARA INAYOKWENDA
SAKINA KUTOKEA KISONGO UWANJA MDOGO WA NDEGE,LEO KUTAKUWA NA BURUDANI
YA MUZIKI ,CHOMACHOMA NA MICHEMSHO YA AINA MBALIMBALI......UNAKARIBISHWA
KATIKA UFUNGUZI RASMI WA SUGAR LAND PUB SIKU YA LEO IJUMAA 24/7/2015
KWANZIA SAA 12 JIONI
KWA
WATEJA WATAKAO FIKA HAPO WATAPATA NYAMA CHOMA BURE NA SUPU HUKU
UKIJINUNULIA KINYWAJI CHAKO NA MUZIKI WA KUKATA NA SHOKA ...KUNAPARKING
YA KUTOSHA NA ULINZI WA UHAKIKA WA MAGARI NA USALAMA WA WATEJA
PIA KUNA MAENEO YA KUKAA AMBAZO NI EXECUTIVE KWA AJILI YA WAPENDA UTULIVU NA
CENTRAL ROOM KWAAJILI YA MUZIKI MWANANA NA GARDEN ZA NJE KWA WAPENDA
UPEPO NA MADHARI YA NJE ...MZIKI UTAONGOZWA NA DJ MAARUFU KABISA NA
NAFASI ZITATOLEWA KWA WAIMBAJI WENYE VIPAJI MAALUM VYA KUIMBA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni