Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa kujitegemea,Msuya ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga wakati mtia nia huyo akirejesha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngsevier Msuya akisalimia wakati msafara wake ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga. |
Mtia nia wa Ubunge,Wakili wa kujitegemea,Msuya akisalimiana na wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi waliofika kumpokea wakati akirejesha fomu za kuwania nafasi hiyo katika jimbo hilo. |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,Marry Msuya akifanya utamburisho wa wageni waliofika katika kushuhudia urejeshwaji wa fomu hizo. |
Baadhi ya wananchma wa chama cha NCCR -Mageuzi wakiwa ndani ya ukumbi wa ofisi za chama hicho wilayani Mwanga. |
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa,Hemed Msabaha akitoa salmau kwa wananchama waliofika katika zoezi hilo. |
Baadhi ya wanachama wa chama hicho. |
Mtia nia Msuya akizungumza na wanachma walikokuwa ndabi ya ukumbi wa ofisi za Chama hicho . |
Mke wa mtia nia Msuya,akisalimia ndani ya ukumbi huo mara baada ya kutamburishwa. |
Baadhi ya wananchi waliofika katika kushuhudia zoezi hilo. |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngseier Msuya akikabihi fomu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho jimbo la Mwanga,Marry Msuya. |
Mtia nia Msuya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wananchi waliofika katika kumsindikiza kurejesha fomu. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni