![]()  | 
| Kikosi kamili cha timu ya Wazalendo kabla ya mchezo wa fainali. | 
![]()  | 
| Kikosi kamili cha Himo fc kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali . | 
![]()  | 
| Waamuzi wa mchezo huo,Kabwe Korona,Beda Lyimo na Nassib wakizungumza na manahodha wa timu hizo. | 
![]()  | 
| Benchi la ufundi la timu ya Wazalendo likongozwa na raia wa Kigeni. | 
![]()  | 
| Heka heka ndani ya uwanja . | 
![]()  | 
| Baadhi ya Mashabiki waliofika kushuhudia mchezo huo wa fainali. | 
![]()  | 
| Mmoja wa Shabiki wa timu ya Himo fc ,Mzee Rashid aliyekuwa kiutio katika mchezo huo hasa kutokana na midadi aliyokuwa nayo wakati mchezo ukiendelea. | 
![]()  | 
| Mchezo huu ulikuwani burudani kwa wakazi wa mji wa Himo wa jinsia zote. | 
![]()  | 
| Huyu hakuweza kufahamika mara moja kama alikuwa ni Shabiki wa moja ya timu zilizokuwa zikicheza. | 
![]()  | 
| Licha ya mchezo kuendelea bado uwanjani kulionekana kuwepo kwa kuku wakiendelea kutafuta chakula. | 
![]()  | 
| Hata hivyo mchezo huo uliingia Dosari baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea mchezo kuvunjwa. | 



















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni