WANAHABARI WATEMBELEA ZIWA MANYARA

Watalii wa ndani na nje wakiwa 
katika hifadhi ya Taifa ya  ziwa Manyara  jana
Gari  la  watalii wa ndani wakitembelea 
 hifadhi ya Taifa  ya ziwa Manyara kama  walivyokutwa na kamera  ya mtandao  huu
Tembo wakinywa maji katika hifadhi ya 
 Taifa ya  ziwa Manyara jana  hifadhi  hiyo  inaongoza kwa  kuwa na tembo wengi  wanaotembea makundi makubwa  zaidi
mtumbwi ambao  hutumika kwa 
utali wa majini katika hifadhi ya Taifa ya  ziwa Manyara
Wanahabari  wa vyombo mbali 
mbali kutoka mkoa  wa Iringa  ambao
 wametembelea  hifadhi ya Taifa ya 
ziwa Manyara wakizungumza na 
 watalii wa kigeni ambao pia  wamefika katika hifadhi  hiyo  kutalii jana
Mzee  wa matukio daima katikati 
akiwa na watalii wa nje mara baada 
ya kutembelea  hifadhi ya Taifa  ya 
ziwa Manyara jana ambapo  
wanahabari  zaidi ya 16 
 kutoka mkoa  wa Iringa  
ambao wanatembelea  hifadhi ya
 kaskazin kuutangaza  utalii wa ndani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni