Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizindua kwa kukata utepe kiota cha burudani cha Goldbar
 and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akizungumza mara baada ya uzinduzi wa kiota cha burudani cha Goldbar
 and Restaurant kilichopo katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.  
  Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizungumza mara baada ya kuzindua Goldbar
 and Restaurant katika chuo hicho mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam
 katika ukumbi wa chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Bustani.
 Picha
 ya pamoja ya wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya 
Bustani mara baada ya kuzindua Goldbar and Restaurant katika chuo hicho 
uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
 Wana kamati ya Maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja wakiongozwa na 
Afisa masoko wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Waheeda Mohamed.
 Wana kamati ya Maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja wakiongozwa na 
Afisa masoko wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Waheeda Mohamed.
 Bendi kitumbuiza katika uzinduzi wa 
Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akiwa na mfanyakazi wa chuo hicho.
 Afisa Manunuzi Mkuu wa Masoko wa chuo cha Taifa cha Utalii,Elizabeth Kasawara akiwa katika pozi mara baada ya 
kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
kiota cha burudani cha Goldbar and Restaurant katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akiwa na wafanyakazi wa Chuo cha Taifa. 

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni