Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la
Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na
wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma
jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi
,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana
mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini(Habari Picha na Pamela
Mollel wa jamiiblog)
Kijana
aliyejitokeza kusikiliza sera za wagombea 12 wa CCM akisikiliza kwa
makini wakati Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju akimwaga sera
zake kwa wananchi wa kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini
Arusha
Wananchi na wananchama waliojitokeza kuwasikiliza wagombea Ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Monaban yajijini Arusha,Philemon Mollel
ambaye pia ni Mgombea Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM akimwaga
sera zake kwa wananchi na wanachama wa chama hicho kuomba ridhaa ya
kuwatumikia katika nafasi ya Ubunge
Mtia nia nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM Thomas
Munisi a.k.a KOMANDOO akiwa anajinadi mbele ya wananchi kuomba ridhaa
ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha
mapinduzi CCM
Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la
Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na
wanachama wa chama hicho katika kata ya Lemara jijini Arusha ,mkutano
huo uliudhuriwa na wagombea ubunge 12 wa chama cha mapinduzi CCM
Picha
ya pamoja wagombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi katika
ofisi ya CCM Wilaya mara baada ya kumaliza kijinadi katika kata 25
jijini hapa
Katibu wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau akizungumza katika mkutano wa kuwanadi wagombea Ubunge kupitia chama cha mapinduzi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni