KAMPUNI ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco
 Village wameweza kushiriki vyema maonyesho ya maonesho 39 ya kimataifa 
ya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja
 Mauzo wa Dege Eco - Village, Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege 
Eco Village wanafurahi sana kuweza kuwafikia watanzania wengi ambao 
walikuwa na shauku ya kujua huduma wanazo zitoa iki ni pamoja na kununua
 nyumba wanazojenga katika mradi wao.
"Tunashukuru
 Kila mmoja alikuwa akipita hapa anapenda kujua huduma zetu na pindi 
unapompa maelezo ya kina hasiti kujaza fomu ili aweze kununua nyumba."
Aliongezea
 na kusema kwamba mradi huu wa Dege Eco Village iliyopo Ras Dege, 
Kigamboni itakuwa na huduma za kijamii kama hospitali, shule aina ya 
chekechea, sekondari, pia kutakuwa supermarket na kadhalika.
Wafanyakazi wa Dege Eco – Village akimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao kuchangamkia fursa ya kununua nyumba.
Wafanyakazi wa Dege Eco – Village amkimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao kuchangamkia fursa ya kununua nyumba.
 Mmoja ya Afisa Masoko wa Dege Eco - Villag. 
Wafanyakazi wa Dege Eco – Village wakiwa katika picha ya pamoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni