Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akisalimiana na wanachama wa chama hicho jana jijini Arusha,Aliwatoa
rai kwa wananchi na wananchama wa chama cha mapinduzi kumuunga mkono
mgombea Urais Dk.John Pombe
Magufuli
kwani ndio chaguo la CCM,huku pia akisisitiza wanaccm kuchagua kiongozi
kwanzia ngazi ya udiwani,ubunge anayekubalika ndani ya CCMna nje ya CCM
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akifurahia jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Arusha katika ofisi za
chama cha mapinduzi jijini Arusha jana wakati watia nia ubunge 12
kupitia chama hicho walipata nafasi ya kujinadi kwa wananchi na
wanachama wa chama hicho
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni