.Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Tabata ya jijini
Dar es Salaam,Tumaini Kabuta akikabidhiwa msaada wa madawati 100 na Meneja
Biashara wa Benki ya KCB Tanzania, Tawi la Mlimani City, Benjamin Mgonja(kushoto)
wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.Benki hiyo imetoa msaada wa
matawati 1000 kwa shule kumi za jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania
wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Tabata.Wakati wa
hafla ya kukabidhiwa msaada wa madawati
100 na Benki hiyo jana.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita katika
shule ya msingi Tabata wakibeba madawati kuyapeleka madarasani baada ya
kukabidhiwa msaada wa madawati 100 na
benki ya KCB Tanzania ikiwa ni sehemu ya mradi wa madawati 1000 kwa shule za
msingi 10 za msingi jijini Dar es Salaam.
.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Tabata
jijini Dar es Salaam, wakionyesha mshikamano na furaha baada ya kupokea msaada
wa madawati 100 kutoka Benki ya KCB Tanzania wakati wa hafla fupi iliyofanyika
shuleni hapo jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni