50 cent akila kiapo
Rapa ameingia mahakani kujiu mashataka ya kusambaza mkanda wa ngono wa mwanamke mmoja aliyemrekodi huko marekani.Rapa hyuo aliingia mahakamani akiwa amevaa nuo za kawaida sna tofauti na ilivyozoleka kwa mastaa wengi
akiwa amevaa saa ya kimulimuli badala ya saa ya dhahabu
zamani alikuwa akivaa hivi saa za dhahabu na pete za thamani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni