FINLAND NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIBIASHARA

 Mkurugenzi wa biashara ya ndani mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutagarutwa akizungunza  katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam  leo. Kuhusiana na  wigo wa biashara hapa nchini na nchi ya Finlan.
 Mwenyekiti wa mkutano na Ushirikishaji  wa ubalozi wa Finland,Siv Ahlberg katika akizungunza  katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam  jana, kuhusiana na historia ya Finland pamoja na njia za kibuiashara za nchi yao.
 Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel akiuliza swali kuhusiana na utoaji elimu kwa wananchi kuhusiana na masual;a ya kibiashara kati ya wafinland waliopo hapa nchini na Watanzania.
 Mkurugenzi mtendaji Global Education Link, Abdulmalik Mollel akizungumza na  Balozi wa Finland hapa nchini, Sinikka Antila mara baada ya mkutano uliokuwa ukishirikisha masuala ya biashara kati ya wafanyabiashara hapa nchini na wafinland, kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link, David Nsimba.
Mkurugenzi mkuu mtendaji wa kampuni ya 3disius International , Afrodisius Sabuni akichangia  maada katika kuhusiana na kinga ya mjasisliamali wa kitanzania kwenye kutoa taarifa za kibenki kwa wawekezaji wa kigeni iko na imara kwa kiasi gani na inaulinzi wa kutosha katika jamii, katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam  jana.  
Baadhi ya wadau wa biashara waliohudhuria katika mkutano unaoshirikisha wadau wa biashara wa hapa nchini na wafinland.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni