Kikosi
cha timu ya Kilimani Mashariki kilichotowa dozi kwa timu ya
Kisimajongoo cha kipigo cha bao 3--0 wakati wa mchezo wao wa Bonaza la
Masauni Cup linaloendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Kikosi cha timu ya Kisimajongoo kilichopata kipigo cha mabao 3--0 na timu ya Kilimani Mashariki
Kocha
Abdulhani Msoma akifuatilia michezo ya Bonaza katika uwanja wa mnazi
mmoja kushoto Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni na kulia
Mchezaji wa Zamani wa timu ya Nyuki. iliokuwa na makazi yake kikwajuni
Zanzibar.
Kizazaa katika goli la Kilimani Mashariki hakuna madhara yaliotokea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni