Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi ya Shilingi
milioni 12 kwa ajili maandalizi ya Futari iliyoandaliwa na Kamati ya
Amani ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini. Kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar
es Salaam Alhad Mussa Salum.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa
Salum wakionyesha hundi ya shilingi milioni 12 kwa ajili ya maandalizi
ya futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa Madhehebu ya
dini itakayofanyika Ijumaa Julai 3 kwenye viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum akitoa shukrani zake baada ya kupokea hundi ya sh. milioni 12 kutoka benki ya CRDB
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni