Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam ,
leo Julai 31, 2015, wakati Balozi huyo alipofika kumuaga baada ya kumaliza muda
wake wa kazi. Picha na OMR |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni