Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima aliyeshinda katika 
kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia 
jumuiya ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).akizungumza katika 
mkutano wa chama cha mapinduzi jana mtaa wa kati (CCM MKOA)wakati 
wagombea 12 wa chama hicho walipofanya ziara ya kutembelea kila kata na 
kujinadi kwa wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho ambapo 
aliwataka wananchi wasirubuniwe na kama walipewa rushwa na mgombea 
yeyote wasimchague bali wamchague kiongozi sahihi wa kuleta mabadiliko 
ya kimaendeleo  katika jimbo la Arusha(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog) 
Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalimaambaye alishinda katika  
kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia 
jumuiya ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).  ambaye pia ni Afisa 
masoko wa Triple "A",Mkurugenzi wa Phide entertainment akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Monaban yajijini Arusha,Philemon Mollel ambaye pia ni Mgombea Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM katika ofisi za (CCM Mkoa) jijini Arusha jana
Katibu wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau
 akizungumza katika mkutano wa kuwanadi wagombea Ubunge kupitia chama 
cha mapinduzi mtaa wa kati jijini Arusha ambapo aliwataka wapambe 
wawagombea watulize mung'ari zao na kuacha tabia ya kukebihana huku 
akisisitiza wananchi kuchagua kiongozi bora 
Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia  ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha Justine Nyari, anayeomba ridhaa ya ccm katika nafasi ya ubunge akiteta
 jambo na Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima  ambaye pia ni 
Afisa masoko wa Triple "A" na Mkurugenzi wa Phide entertainment kabla ya
 mkutano wao wa kujinadi kuanza
Mbunge
 viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima  ambaye pia ni Afisa masoko wa 
Triple "A"na Mkurugenzi wa Phide entertainment akibadilishana mawazo na 
wakili msomi Edimond Ngemela anayeomba ridhaa ya ccm katika nafasi ya ubunge
Mbunge
 viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima  ambaye pia ni Afisa masoko wa 
Triple "A" na Mkurugenzi wa Phide entertainment akiwa katika picha ya 
pamoja na watia nia nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM
Mbunge
 viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima  ambaye pia ni Afisa masoko wa 
Triple "A"na Mkurugenzi wa Phide entertainment, akisalimiana na mtia nia
 nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM Thomas Munisi ,ambapo Mwakitalima aliibuka 
 mshindi katika kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa
 Arusha kupitia jumuiya ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).
Mbunge
 viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima  ambaye pia ni Afisa masoko wa 
Triple "A" akisalimiana na wadau ambao ni watia nia Ubunge na 
Udiwani,kushoto ni Simba Salum anayeomba chama cha mapinduzi kumpitisha 
kuwania nafasi ya udiwani mtaa wa kati bondeni na kulia wakili msomi 
Edimond Ngemela anayeomba ridhaa ya ccm katika nafasi ya ubunge
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni