Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la
Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama
hicho katika kata ya ungalimited jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM
ambapo aliwataka wananchi hao kuchagua kiongozi sahihi wakuweza kuleta
mabadiliko katika jimbo la Arusha pia alisema yupo tayari kushirikiana
na mgombea atakayepitishwa na chama hicho endapo chama hicho hakitamteua
kuwa mgombea Ubunge jimbo la Arusha mjini(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz Bano
ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akitoa maelekezo kwa wananchi wa
kata ya Ungalimited namna ya kuwasikiliza wagombea ambapo aliwataka
wasipige makofi wala kushangilia wakati wagombea hao wakijinadi kwa sera
zao
Taswira
mama akiwa amembeba mwanae akiwa anavuka barabara wakati mkutano wa
kujinadi wagombea wa chama cha mapinduzi ukiwa unaendelea katika kata ya
Ungalimited mtaa wa Esso jijini hapa
Kulia
ni Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya
ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akifwatilia sera za wagombea
Ubunge mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya ungalimited
jijini Arusha
Wanachama
na wananchi waliojitokeza kuwasikiliza watia nia nafasi ya Ubunge jimbo
la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM
Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo
la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa
chama hicho katika kata ya ungalimited jijini Arusha ili kuomba ridhaa
ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM ambapo aliwataka wananchi hao kukipenda chama huku akiomba ridhaa ya kuwatumikia endapo atapita katika kura ya maoni
Mwanadada
mlemavu akiwa anasikiliza kwa umakini sera za wagombea ubunge kupitia
chama cha mapinduzi CCM katika kata ya Sekei uwanja wa Tax sanawari
Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM
akiwa anasikiliza sera za wagombea wenzake katika kata ya sekei jijini
Arusha ambapo alisema kuwa endapo chama hicho hakitampitisha yupo tayari
kushirikiana na atakayepitishwa na chama hicho
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni