Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati
wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto,
lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa.
Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto)
akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob
Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga na kukataa
vitendo vcya ukatili kwa watoto.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya akizungumza katika hadhara hiyo.
Burudani mbalimbali zilitolewa na vikundi kwa kwaya.
Meza kuu ikifuatilia burudani hizo.
Watoto nao walitoa burudani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni