The fact that Dr.
Wilbord Slaa, John Mnyika and Tundu Lissu did not show up on yesterday
Lowassa-Ukawa press conference is very crucial… I mean there must be
something going on behind the curtains, let’s just wait and see!
KUMEKUCHA: Siasa ni
tamuu! Nasikia Dr Wilbroad Slaa amekataa katakata kukubaliana na maamuzi
ya kumleta Lowassa Sijui ni kweli Au?!
Anasema bora akae bila
Chama kuliko kukaa chama kimoja na Lowassa. Na inaonesha anaungwa Mkono
na Lissu, Mnyika na wengine wengi. Utakuwa mchezo wa kupishana huyu
anatoka huyo anaingia! Ngoja tusubirie tuone mwisho wake:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni