Baadhi ya Wawezeshaji katika mafunzo yaWajasiliamali 150 yanayofanyika katika chuo cha Ufundi Veta mkoa wa Kilimanjaro. |
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. |
Badhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano. |
Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya fedha ya FSDT ,Erick Masinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. |
Baadhi ya wajasiliamali hao. |
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Lembris Kipuyo akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yenye lengo la kuwawezesha kurasimisha biashara zo ili wapate mkopo na kukuza Biashara. |
Prof Maliyamkono akitoa neno la Shukrani. |
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo,wakiwa katika picha ya Pamoja na mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo. |
DC Kipuyo akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mafunzo hayo. |
DC Kipuyo akifanya mahojiano na mmoja wa wanahabari . |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni