Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa
Sabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB inatoa huduma za kibenki katika maonyesho hayo ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti kwa wateja wapya na
kutoa huduma za kuweka na kutoa fedha katika tawi linalotembea iliyopo katika
viwanja vya Sabasaba. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma (Na Mpiga Picha Wetu)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya
Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kibenki katika tawi linalotembea
lililopo katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma katika Viwanja vya Sabasaba wakati wa
Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mteja akiweka sahihi ya dole gumba baada ya kufungua akaunti ya Benki ya CRDB.
Huduma za kibenki zikiendelea katika Banda la Benki ya CRDB katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa.
Mkurugezi
wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na msanii wa
kughani, Mrisho Mpoto wakati alipotembelea Banda la Benki ya CRDB katika
maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni