MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM, AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.
Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuipeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli amesema hatawaangusha watanzania atashirikiana na watanzania wote ili kuleta maendeleo ya Tanzania kwa ujumla na akaongeza kwamba yeye siyo mkali ila anawachukia wala rushwa na wazembe kazini hivyo atawashughulia polepooole.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akikumbatiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bw. Ramadhan Madabida huku Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Galawa wakishuka kwenye ndege
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jerry Silaa mjumbe wa Kamati Kuu na aliyekuwa Meya wa Ilala.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mh. Sophia Mjema Mkuu wa wilaya ya Temeke katikati ni Anjela Kiziga.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mh. Anjela Kairuki Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akivishwa skafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa J.K.Nyerere akitokea Dodoma kushoto ni Mama Samia Suluhu Mgombea Mweza na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhan Madabida.
????????????????????????????????????
Wananchi mbalimbali wakitaka kumsalimia Mgombea Dr. John Pombe Magufuli.????????????????????????????????????
Mbunge wa jimbo la Kinondoni Mh. Idd Azan kulia na Meneja Mahusiano wa TBL Doris Malulu wa pili kushoto wakiwa wameongozana na baadhi ya Ndugu na jamaa wa Dr. John Pombe Magufulia wakiingia kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kiwa kumlaki.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi mbalimbali huku ulinzi ukiwa umeimarishwa,
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliofika kumlaki uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika kumlaki pamoja na Mgombea Mwenza mama Samia Suluhu kushoto kulia ni Ramadhan Madabida Mwenyekiti wa CCM Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa katika jukwaa kuu kwenye mkutano uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala.
????????????????????????????????????
Wabunge wa mkoa wa Dar es salaam wakitambulishwa kwenye mkutano huo.
????????????????????????????????????
Viongozi mbalimbali wakiwa katika meza kuu.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kumtamulisha Dr. John Pombe Magufuli kwa wananchi baada ya kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia chama hicho mkoani Dodoma.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia ni Mgombea wa Urais Kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli wakiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi ukiwa umefurika kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
????????????????????????????????????
Baadhi ya Ndugu na Jamaa wa Dr. John Pombe Magufuli wakiwa pamoja na wananchi wengine katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu ili kuzungumza na wananchi na kujitambulisha kwao.
????????????????????????????????????
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mama Samia Suluhu akisalimia wananchi na kujitambulisha kwao.
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ili kuzungumza na wananchi na kujitambulisha kwao.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi na kujitambulisha kwao kwenye mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
????????????????????????????????????
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma za tumba pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kwenye jukwaa la bendi ya TOT mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuhutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
????????????????????????????????????
Mitambo ya Azam TV kwa mbaali wanaendelea na kazi yao nzuri ya kurusha matangazo ya moja kwa moja.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli akiondoka katika jukwaa mara baada ya kuzungumza na wananchi na kujitambulisha kwao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni