Muigizaji maarufu wa filamu,Jack Devnarain akijulikana kama Rajesh Kumar katika tamthiliya ya Isidindo the Need akiwasili katika lango la Marangu tayari kuanza kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Mhifadhi mkuu Hfadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza wakati akitoa historia fupi ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro. |
Baadhi ya washiriki katika changamoto hiyo. |
Baadhi ya washiriki katika changamoto hiyo. |
Katibu tawala wilaya ya Moshi ,Remida Ibrahim akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya katika hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wageni hao kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Baadhi ya washiriki wa Changamoto hiyo. |
Mcheza filamu maarufu nchini Afrika Kusini,Jack Devnrain(kulia) akituma picha mbalimbali za tukio hili kwenye mitandao ya kijamii. |
Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla hiyo. |
Washiriki wa changamoto hiyo. |
Jack Devnarain maarufu kama Rajesh Kumar wa kwenye tamthiliya ya Isidingo the Need akifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
Ofisa Uhusiano wa nje wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom nchini Afrika Kusini ,Maya Makanjee akifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
Ofisa Uhusinao wa nje wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom ,Maya Makanjee akizungumza jambo katika hafla hiyo kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
Baadhi ya washiriki. |
Washiriki wa Changamoto hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania,Allan Kijazi. |
Baadhi ya wageni hao wakipia "Serfie"kabla ya kuanza kupanda Mlima. |
Safari ya kupanda Mlima ndio imeanza. |
Rajesh wa Isidingo the Need akiwa miongoni mwao. |
Ofisa Uhusiano wa nje waKampuni ya Mawasiliano ya Vodacom,Maya Makanjee ni miongoni pia mwa wapandaji hao hapa akiianza safari"Pole pole" |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni