RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIPOHUTUBIA KWA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE, DODOMA TAREHE 9 JULAI, 2015

b1

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015 
b2
 Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni 
b3
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni  
b4
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge 
b5
 Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni 
b6
 Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge 
b8
 Rais Kikwete akiingia bungeni  
b9
 Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao   
b10
 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia 
b11
 Waheshimiwa wabunge
b12
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge  
b13
 Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge
b14
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge 
b15
 Rais Kikwete akihutubia 
b16
 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake 
b17

b18
 Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete 
b19
 Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba 
b20
 Sehemu ya wabunge 
b21
 Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali  
b22
 Sehemu ya Mabalozi 
b23
 Wabunge wakifuatilia hotuba  
b24
 Wabunge wakifuatilia hotuba  
b25
 Wabunge wakifuatilia hotuba 
b26
 Wabunge wakifuatilia hotuba 
b27
 Wabunge wakifuatilia hotuba  
b28
 Wabunge wakifuatilia hotuba 
b29
 Wabunge wakifuatilia hotuba 
b30
 Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete  
b31
 Jaji Mkuu na ujumbe wake 
b33Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge 
b32
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge   
b35
wabunge 
b38
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa vikosi vya ulinzi na usalama na wageni waalikwa 
b40
 Rais wa Zanzibar Dkt. Shein, Makamu wa Rais Dkt Bilali, Naibu Spika Mhe Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu wakifuatilia hotuba  
 b64
 Picha ya pamoja na marais wastaafu na viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
 b61
  Rais Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa 
b60
 Picha ya pamoja 
b59
 Rais Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi  
b57
 Rais Kikwete akisindikizwa kutoka nje baada ya kuhutubia
b56
 Jaji Mkuu akitoka bungeni  
b55
 Rais wa Zanzibar akitoka bungeni  
b53

b52

b50
 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge  
b44
 Mmoja wa wabunge Mhe. Riziki Saidi Ruliga, akifuatilia hotuba kwa makini 
b42

b41Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge  
b62

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni