RIHANNA ATIKISA MITAA YA JIJI LA NEW YORK AKIWA AMESUKA RASTA

Mwanamuziki Rihanna amebadili mtindo wa nywele na jana ameonekana mwenye mvuto akikatiza Jijini New York akiwa amesuka rasta.

Mwanamuziki huyo nyota alikuwa amevalia sweta nyeupe inayoonyesha mabega na jinzi iliyochanwa chanwa aina ya ' boyfriend jeans'.
                                                  Mwanamuziki Rihanna akishuka kwenye gari

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni