MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CCM MKOA WA DODOMA LEO YAFANA


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa akimkaribisha Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM mkoa huo, kwenye ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre, leo. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa CCM, wakati wa sherehe za Maadimisho ya miaka 40 ya CCM, zilizofanyika katika ukumbi wa Dodoma Convertion Cetre nje kidogo ya Mji wa Dodoma. Picha zote na Bashir Nkoromo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni