MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi wa habari kuunga mkono vita dhiti ya madawa ya kulevya
Raza ambaye pia ni kada wa Chama cha mapinduzi leo jijini Dar es Salaam, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano dhidi ya vita ya matumizi ya madawa ya kulevya na pia amemuunga mkono mh Rais John Pombe Magufuli kwa jitihada zake kuhakikisha analinusuru taifa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni