Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea mchango wa sh.  milioni 5.5 kutoka kwa 
Mhasibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa 
(TAMISEMI), Rose Makange (katikati)ukiwa ni mchango wa watumishi wa 
TAMISEMI kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa. Makabidhiano hayo 
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Februari 14, 2017. 
Kulia ni Rose Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni