Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kuhenga akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo wanaohamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wanaohamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaammara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi hao iliyofanyika leo.
Baadhi ya Maafisa Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wenzao wawili wanaohamia katika Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Robert Mvungi ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Afisa Muuguzi Mkuu Salome Kassanga ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Stephano Masatu ambaye anahamia katika Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo wanaohamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam. Picha na Anna Nkinda - JKCI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni