MAJALIWA AZINDUA MADARASA NA KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MJINI KATESH


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Katesh wilayani Hanang, Februari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Shilingi 500,000/= mzee Giloya Semhonda ikiwa ni shukurani kwa usimamizi wake mzuri wa ujenzi na ukarabati wa madarasa ya shule ya msingi ya Mogitu wilayani Hanang baada ya uzindu madarasa hayo Februari 21, 2017. Fedha hizo zilitolewa na Mkuuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Msingi ya Mogitu wilayani Hanang baada ya kuzindua madarasa ya shule hiyo, Februari 21, 2017. Watatu kulia ni Mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wanyaturu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Katesh wilayani Hanang Februari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua madarasa ya Shule ya Msingi ya Mogitu wilayani Hanang Februari 21, 2017. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi na wapili kulia kwake ni Mbunge wa hanang, Dkt. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni