Mshauri wa Masuala ya Usalama wa
rais Donald Trump, Michael Flynn, amejiuzulu kufuatia mawasiliano
yake na Urusi.
Bw. Flynn anatuhumiwa kufanya
mazungumzo kuhusu vikwazo vya Marekani na Balozi wa Urusi, kabla ya
rais Trump kuingia madarakani.
Inasemekana kwamba Bw. Flynn
aliwapotosha maafisa wa Marekani kuhusian na yeye kufanya mazungumzo
hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni