WAZIRI WA
NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA MHE JANUARI MAKAMBA AMESEMA SERIKALI
ITATUNGA KANUNI ZITAKAZODHIBITI UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA POMBEKALI (VIROBA)
KWA MUJIBU WA KIFUNGU 230(2)(F)CHA SHERIA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2004 .
AKIZUNGUMZA
NA VYOMBO VYA HABARI OFISINI KWAKE LEO WAZIRI MAKAMBA AMESEMA HATUA HIYO YA
SERIKALI IMEKUJA IKIWA NI HATUA YA
UTEKELEZAJI WA KUPITIA KAULI YA WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJALIWA ALIYOITOA TAREHE
KUWA DHAMIRA YA SERIKALI SIO KUPIGA MARUFUKU V/INYWAJI VYA POMBE KALI BALI NI
KUTEKELEZA IBARA YA KA/TIBA AMBAYOINATOA HAKI YA KUSHI KATIKA MAZINGIRA HUKO MERERANI MKOANI MANYARA YA KUSITISHA UTENGENEZAJI, UUZAJI NA MATUMIZI
YA POMBE ZINAZOFUNGASHWA KWENYE VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI KUANZIA TAREHE TAREHE 01/03/2017
AMESEMA
DHAMIRA YA SERIKALI NI KUDHIBITI UPATIKANAJI KWA URAHISI WA POMBE KALI
KUNAKOTOKANA NA KUFUNGWA KATIKA MIFUKO YA PLASTIKI NA KWA UJAZO MDOGO KUPELEKEA
KUZAGAA NA KUONGEZEKA MATUMIZI HUSUSANI
KWA WATOTO WADOGO ,AMBAPO PIA KUMEKUWA NA UKWEPAJI WA KODI AMBAPO SERIKALI
IMEKUWA IKIPOTEZA BILION MIA SITA KWA MWAKA.
SERIKALI
IMESEMA KWA UPANDE MIFUKO YA PLASTIKI KANUNI ZA UDHIBITI ZINAANDALIWA SANJARI
NA ZUIO KUTANGAZWA WAKATI WOWOTE HUKU IKIWATAKA WAUZAJI, WAZALISHAJI, NA WAAGIZAJI
WA MIFUKO YA PLASTIKI NAO KUJIANDA KWANI SERIKALI HAIJAKURUPUKA KATIKA HILO
KWANI TAARIFA WALIKWISHATOA JUU YA MATUMIZI MBADALA WA TEKNOLOJIA MPYA TOKA
MWEZI AGOSTI NA DESEMBA MWAKA ULIOPITA JUU YA DHAMIRA HIYO.
MWISHO………………………………………………………
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni