Madiwani
wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa wamebeba zawadi mbalimbali
kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo
Katibu
wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro,Mawenzi ,Boniface Lyimo
akizungumza mara baada ya kuwapokea Madiwani hao na kutoa maelekezo ya
namna ya kutoa zawadi hizo kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyo
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,wakielekea katika wodi walimolazwa wagonjwa kwa ajili ya kutoa zawadi.
Mwenyekiti
wa Madiwani wa Chadema na Diwani wa kata ya Kiusa,Stephen Ngasa
akikabidhi zawadi ya sabuni ya unga kwa wagonjwa waliolazwa katika
Hopstali ya Mawenzi.
Diwani wa kata ya Mawenzi,Hawa Mushi akitoa zawadi kwa mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo.
Diwani wa kata Pasua ,Charles Mkalakala akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika Hospitali hiyo.
Madiwani wakiongojea kuingia katika wodi nyingine kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wagonjwa katika hospitali hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni