NAIBU SPIKA DR. TULIA ACKSON ASHIRIKI IBADA YA SHUKURANI NA WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB KWENYE KANISA LA KKKT MSASANI


1
Mchungaji Melgad Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani  Dayosisi ya Mashariki na Pwani akiwaombea Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei ,  Mkewe Rose Kimei pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na waumini wengine  kwenye  ibada ya shukurani kwa jinsi mungu aliyvowatendea katika kila jambo maishani mwao, Ibada hiyo imefanyika jana jumapili kwenye kanisa hilo lililopo Msasani jijini Dar es salaam.
23 04
Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei  , Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa kushoto na Mama Rose Kimei wakiimba moja wa nyimbo katika ibada hiyo wakati ilipokuwa ikiendelea.
405
Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei  wakishiriki kuimba wimbo katika ibada hiyo.
5
Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei  , Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa kushoto na Mama Rose Kimei pamoja na waumini wengine wakiwa katika maombi.
6
Baadhi ya wafanyakazi wa CRDB na waumini wengine wakiwa katika ibada hiyo.
78
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu kushoto pamoja na watendaji wengine wa benki hiyo wakishiriki katika ibada hiyo iliyofanyika jana kwenye kanisa la KKKT Msasani.
9
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu kushoto pamoja na watendaji wengine wa benki hiyo wakiwa katika maombi  wakati wa  ibada hiyo iliyofanyika jana kwenye kanisa la KKKT Msasani.
10
Mchungaji Melgard Metili wa Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani  Dayosisi ya Mashariki akitoa mahubiri yake katika ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa la KKKT Usharrika wa Msasani jijini Dar es salaam jana.
11

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni