MH.JOHN HECHE AMTEMBELEA LEMA GEREZANI

Mbunge wa Tarime Vijijini Mh.John Heche akiongozana na Mh Japhary Maiko mbunge wa Moshi mjini pamoja na kamanda Pascal Haonga mbunge Mbozi. 

Leo wamemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema anaeshikiliwa gerezani kisongo. 
Alichozungumza Mh.Heche baada ya kumtembela Lema
Tumetoka Gerezani kumsalimia kamanda Lema yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja .
"kama unaamini hofu itakufanya uishi milele au upate uzima wa milele kutoka mbinguni nenda kaishi kwa hofu, lakini kama unajua hofu haikupi hayo basi kapiganie haki na usikubari kutiwa hofu wambie na makamanda wote"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni