Simu iliyokuwa ikitumiwa na Adolf Hitler imeuzwa kwa dola 240,000


Simu iliyokuwa ikutumiwa na kiongozi wa Kinazi wa Ujerumani, Adolf Hitler, wakati wa vita vya pili vy dunia, imeuzwa kwa dola 240,000 katika mnada uliofanyika nchini Marekani. Bei ya chini ilianzia dola 100,000 na hatimaye kununuliwa na mtu aliyekataa kutajwa jina kwa dola 243,000. Simu hiyo iliyoandikwa jina la Adolf Hitler, ilipatikana katika handaki la mjini Berlin, alimokuwa amejificha Hitler wakati wa vita vya pili,1945.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni