Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokelewa na Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo
baada ya kuapishwa rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokea salaam ya heshima toka
katika Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari(hawapo
pichani) kwa ajili yake kwa heshima.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikagua Gwaride Maalum
lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake
kwa heshima kama inavyoonekana katika picha.
Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga(kulia) akiteta
jambo na Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kabla ya
kuongea na Maafisa na askari wa Jeshi hilo Makao Makuu ya Magereza mara
baada ya kutoka kuapishwa kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.
Baadhi
ya Askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutoka kuapishwa kuwa Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6,
2017.
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutoka kuapishwa kuwa Kamishna
Jenerali wa Jeshi hilo, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongea na Maafisa, askari na
Watumishi raia wa Jeshi la Magereza baada ya kutoka kuapishwa kuwa
Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6,
2017.
Sehemu
ya familia ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa
waliohudhuria kuapishwa kwake leo Ikulu, Dar es Salaam wakiwa katika
picha ya pamoja(katikati) ni Mke wa Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo Bi.
Fatuma Malewa(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiwasili Makao Makuu ya Jeshi
la Magereza mara baada ya kuapishwa rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Magereza, Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni