-Wateja wakifurahia huduma za Tigo zilizoboreshwa katika Ofisi za Tigo zilizoko Blue Rock jijini Arusha

Wahudumu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo jijini Arusha wakitoa huduma kwa wateja wao kwenye duka lao lililopo kwenye jengo la Blue Rocky kwenye barabara ya Col Midleton kata ya Levolosi jiji la Arusha picha na mahmoud Ahmad

Mhudumu akiwa na mteja akimpa maelezo ya simu yake kama alivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha

Huduma zikiendelea katika ofisi duka hilo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni