NAIBU WAZIRI MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA GENERALI MPYA WA IDARA YA UHAMIAJI NCHINI, DK. ANNA MAKAKALA


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimfafanulia jambo Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji na Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni