Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mifuko ya mbolea ya kiwanda cha Minjingu mkoani Manyara ikiwa na maandishi yanayoonyesha kuwa mbolea hiyo inazalishwa nchini Kenya. Mifuko hiyo ambayo ilishuhudiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Februari 19, 2017 wakati alipotembelea kiwanda hicho, ilimkera sana na aliuagiza uongozi wa kiwanda hicho kumuandikia barua Rais John Pombe Magufuli ya kumuomba radhi kwa kitendo hicho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mifuko ya mbolea ya kiwanda cha Minjingu mkoani Kagera ikiwa na maandishi yanayoonyesha kuwa mbolea hiyo inazalishwa nchini Kenya. Mifuko hiyo ambayo ilishuhudiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Februari 19, 2017 wakati alipotembelea kiwanda hicho, ilimkera sana na aliuagiza uongozi wa kiwanda hicho kumuandikia barua Rais John Pombe Magufuli ya kumuomba radhi kwa kitendo hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni