Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya nyongeza na mabadiliko ya baadhi ya
Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge ili kuwawezesha Wabunge wapya kuwa
Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge ikiwa ni pamoja na kuziwezesha Kamati
Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge ili kuwawezesha Wabunge wapya kuwa
Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge ikiwa ni pamoja na kuziwezesha Kamati
kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi kutoka na uwiano wa Wajumbe katika Kamati
hizo. Wabunge wapya waliopangiwa Kamati za Kudumu za Bunge ni pamoja na;
hizo. Wabunge wapya waliopangiwa Kamati za Kudumu za Bunge ni pamoja na;
(a) Mhe. Abdallah M. Bulembo (Mb) amepangiwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Bajeti;
Kudumu ya Bunge ya Bajeti;
(b) Mhe. Anne K. Malecela (Mb) amepangiwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Nishati na Madini;
ya Bunge ya Nishati na Madini;
amepangiwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii; na
(d) Mhe. Prof. Palamagamba P.A Kabudi (Mb) amepangiwa kuwa Mjumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria.
ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria.
Aidha, pamoja na nyongeza hiyo ya Wajumbe kwenye Kamati za Bunge, Mhe Spika pia
amemuamisha Mhe. Pudenciana W. Kikwembe (Mb) kutoka katika Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa na kuwa Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
amemuamisha Mhe. Pudenciana W. Kikwembe (Mb) kutoka katika Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa na kuwa Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Miundombinu.
Mabadiliko haya yamefanywa chini ya Kanuni ya 116 (3) hadi (5) ya Kanuni za Kudumu
za Bunge, Toleo la Januari, 2016 inayompa Spika Mamlaka ya kuteua Wabunge ili wawe
za Bunge, Toleo la Januari, 2016 inayompa Spika Mamlaka ya kuteua Wabunge ili wawe
Wajumbe katika Kamati mbalimbali za Bunge ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya kuongeza,
kubadilisha au hata kupunguza idadi ya Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge.
kubadilisha au hata kupunguza idadi ya Wajumbe katika Kamati za Kudumu za Bunge.
Kwa mujibu wa waraka Na. 01/2017 uliotolewa na Mhe Spika, mabadiliko haya ya
wajumbe kama ilivyoainishwa hapo juu yataanza kutekelezwa mara moja kuanzia mwezi
wajumbe kama ilivyoainishwa hapo juu yataanza kutekelezwa mara moja kuanzia mwezi
huu wa Febuari, 2017.
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano
Ofisi ya Bunge
Ofisi ya Bunge
DODOMA
20 Febuari, 2017
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni